• HABARI MPYA

  Friday, January 16, 2015

  YAYA TOURE ATIKISA KIBERITI MAN CITY

  KIUNGO wa Manchester City, Yaya Toure kwa mara nyingine ametingisha kiberiti katika klabu hiyo, akisema hana uhakika kama msimu ujao atakuwepo Etihad.
  Lakini kocha, Manuel Pellegrini alijibu mapema habari hizo, akisema mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 31 ni mali ya klabu hiyo. 
  Mwanasoka huyo Bora Afrika, alijiunga na mabingwa hao wa Ligi Kuu ya England mwaka 2010 na amekuwa kwenye dimbwi la mafanikio Etihad.
  Yaya Toure has claimed that he doesn't know if he'll be a Manchester City player next season
  Yaya Toure amesema hana uhakika kama atabaki Manchester City msimu ujao

  "Hilo ni swali kubwa na jepesi, na unatakiwa kutoa jibu rahisi... tutaona. Sijui (kama nitabaki). Nipo City. City ni klabu kubwa ambayo nimevuna mafanikio mengi," amesema.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YAYA TOURE ATIKISA KIBERITI MAN CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top