• HABARI MPYA

  Sunday, January 18, 2015

  YANGA SC 'WALIVYOMEKWA KAMASI' NA RUVU SHOOTING JANA TAIFA

  Mshambuliaji wa Yanga SC, Amisi Tambwe akienda chini baada ya kupigwa kumbo na beki wa Ruvu Shooting, George Michael katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu hizo zilitoka sare ya 0-0
  Mshambuliaji wa Yanga SC, Kpah Sherman akimtoka beki wa Ruvu, George Michael
  Kiungo wa Yanga SC, Haruna Niyonzima akimuacha chini beki wa Ruvu Shooting, Salvatory Ntebe
  Beki wa Ruvu, Hamisi Kasanga akilala chini kuondoa mpira miguuni mwa winga wa Yanga SC, Andrey Coutinho
  Beki wa Ruvu, Said Madega akimdhibiti winga wa Yanga SC, Simon Msuva
  Beki wa Ruvu, Michael Aidan akimdhibiti winga wa Yanga SC, Andrey Coutinho

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC 'WALIVYOMEKWA KAMASI' NA RUVU SHOOTING JANA TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top