• HABARI MPYA

  Wednesday, January 14, 2015

  YANGA SC NA COASTAL UNION MKWAKWANI LIGI KUU LEO

  Yanga SC wanashuka dimbani leo jioni kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kumenyana wenyeji, Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Mchezo huo ni wa kiporo baada ya kuahirishwa awali, ili timu hiyo ikashiriki Kombe la Mapinduzi, Zanzibar. 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: YANGA SC NA COASTAL UNION MKWAKWANI LIGI KUU LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top