• HABARI MPYA

  Wednesday, January 14, 2015

  AZAM FC NA KAGERA SUGAR MWANZA LEO LIGI KUU

  Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Azam FC leo wanashuka dimbani kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Mwanza, kumenyana na Kagera Sugar katika mfululizo wa ligi hiyo. Mchezo huo ni wa kiporo ambao awali uliahirishwa ili timu hiyo ikacheza Kombe la Mapinduzi. Kagera hutumia Uwanja wa Kaitaba, Bukoba, lakini kwa sababu umefungwa kwa ukarabati, mechi zao zimehamishiwa Kirumba.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC NA KAGERA SUGAR MWANZA LEO LIGI KUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top