// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); VAN GAAL AMKINGIA KIFUA FALCAO, ASEMA ANAFANYA VIZURI NI MUHIMU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE VAN GAAL AMKINGIA KIFUA FALCAO, ASEMA ANAFANYA VIZURI NI MUHIMU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, January 18, 2015

    VAN GAAL AMKINGIA KIFUA FALCAO, ASEMA ANAFANYA VIZURI NI MUHIMU

    KOCHA wa Manchester United, Louis van Gaal amemtetea mshambuliaji wa mkopo Radamel Falcao licha ya kwamba ameendelea kuboronga jana mjini London.
    Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 28 alipoteza nafasi nne nzuri za kufunga, zikiwemo mbili akiwa amebaki yeye na nyavu.
    Lakini licha ya hali hiyo kujirudia jana, kocha wa United, Van Gaal amesema; "Nafikiri alifanya vizuri,".
    Radamel Falcao stands in the middle of the Loftus Road pitch with his hands on his hips
    Kocha Mholanzi wa United ameongeza; "Si muhimu sana ninachofikiri, kwa sababu tunataka kufunga mabao. Na kwangu, natakiwa kuatazama alichezaji,".
    "Kufungaa mabao ni jambo muhimu kwa mshambuliaji nafahamu, lakini kwangu ni jambo muhimu pia kama anashambulia. Na ninafikiri anafanya vizuri.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VAN GAAL AMKINGIA KIFUA FALCAO, ASEMA ANAFANYA VIZURI NI MUHIMU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top