• HABARI MPYA

  Wednesday, January 14, 2015

  SIMBA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA

  Mshambuliaji wa Simba SC, Dan Sserunkuma akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Mtibwa Sugar, David Luhende katika Fainali ya Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda kwa penalti 4-3 baada ya sare 0-0 ndani ya dakika 90.
  Beki wa Mtibwa Sugar, Salim Mbonde (kushoto) akiruka dhidi ya mshambuliaji wa Simba SC, Ibrahim Hajibu kuwania mpira wa juu
  Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi (katikati) akipambana na wachezaji wa Mtibwa Sugar
  Beki wa Simba SC, Hassan Kessy akimfunga tela mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Mussa Hassan Mgosi
   Kiungo wa Simba SC, Awadh Juma akimtoka kiungo wa Mtibwa, Ally Shomary
  Mshambuliaji wa Mtibwa Sugar, Ame Ally akimiliki mpira mbele ya beki wa Simba SC, Juuko Murushid
  Nahodha wa Simba SC, Hassan Isihaka akiwa ameinua juu Kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Mtibwa Sugar kwa penalti 4-3 jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  Wachezaji wakifurahia na Kombe
  Wachezaji wakifurahia na Kombe lao
  Wachezaji na shabiki kushoto wakifurahia na Kombe lao
  Kocha Msaidizi wa Simba SC, Suleiman Matola wa pili kushoto akifurahia Kombe na rafiki zake
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA MTIBWA SUGAR KATIKA PICHA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top