• HABARI MPYA

  Sunday, January 04, 2015

  SIMBA SC NA MAFUNZO KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR

  Mshambuliaji wa Simba SC, Elias Maguri akimtoka beki wa Mafunzo katika mchezo wa  Kundi C Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda 1-0.
  Kiungo wa Simba SC, Awadh Juma akimiliki mpira mbele ya kiungo wa Mafunzo
  Beki wa Simba SC, Hassan Banda (kulia) akipambana na mchezaji wa Mafunzo
  Mshambuliaji wa Simba, Dan Sserunkuma akiwatoka mabeki wa Mafunzo
  Beki wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala'  kulia akimtoka beki wa Mafunzo
  Mchezaji wa Simba SC, Ramadhani Singano 'Messi' akiwa ameruka dhdi ya mabeki wa Mafunzo na kipa wao kuwania mpira wa juu 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC NA MAFUNZO KATIKA PICHA JANA ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top