• HABARI MPYA

  Wednesday, January 21, 2015

  RAHEEM STERLING AWANUSURU LIVERPOOL NA KICHAPO CHA CHELSEA NYUMBANI

  BAO la Raheem Sterling dakika ya 59 limeipa Liverpool sare ya 1-1 nyumbani na Liverpool katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Capital One Cup.
  Katika mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Anfield, Eden Hazard alitangulia kuifungia Chelsea kwa penalty dakika ya 18, baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu na Emre Can
  Kikosi cha Liverpool kilikuwa: Mingolet, Can, Skrtel, Sakho, Henderson, Gerrard/Lallana dk70, Lucas, Moreno, Markovic, Sterling na Coutinho.
  Chelsea: Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Luis, Matic, Mikel, Hazard, Fabregas, Willian/Azpilicueta dk87 na Costa.
  Raheem Sterling celebrates after scoring a superb equaliser for the hosts in the 59th minute in the Capital One Cup semi-final
  Raheem Sterling akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la kusawazisha

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2918853/Liverpool-1-1-Chelsea-Raheem-Sterling-equalises-Eden-Hazard-s-penalty-set-Capital-One-Cup-semi-final-second-leg.html#ixzz3POxBixRy 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RAHEEM STERLING AWANUSURU LIVERPOOL NA KICHAPO CHA CHELSEA NYUMBANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top