Wachezaji wa Cameroon, wakimpongeza mwenzao, Ambroise Oyongo baada ya kuwafungia bao la kusawazisha dakika za mwishoni katika sare ya 1-1 na Mali, mchezo wa Kundi D Kombe la Mataifa ya Afrika mjini Tuesday usiku huu. Bao la Mali lilifungwa na Sambou Yatabare kipindi cha pili pia.
0 comments:
Post a Comment