• HABARI MPYA

  Tuesday, January 20, 2015

  PELE WA MWANZA NA 'BABU' NGASSA WALIOWIKA SIMBA NA PAMBA

  Nyota waliowahi kuwika klabu za Pamba ya Mwanza na Simba SC ya Dar es Salaam, Juma Amir Maftah kulia enzi zake akiitwa Pele wa Mwanza na Khalfan Ngassa kushoto leo walikuwepo Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza kushuhudia mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Kagera Sugar ya Bukoba na Azam FC ya Dar es Salaam iliyoshinda mabao 3-1.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: PELE WA MWANZA NA 'BABU' NGASSA WALIOWIKA SIMBA NA PAMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top