• HABARI MPYA

  Tuesday, January 20, 2015

  MZEE TEGETE NA BAKHRESA WALIKUWA WANAZUNGUMZA NINI HAPA?

  Meneja wa Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza, John Tegete kulia akijadiliana mambo na Mkurugenzi wa Azam FC, Jamal Bakhresa leo wakati mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Azam na Kagera Sugar ukiendelea uwanjani hapo. Azam FC ilishinda 3-1. Mzee Tegete ni baba wa mshambuliaji wa Yanga SC, Jerry ambaye kwa sasa hana nafasi kikosi cha kwanza. Je, hapa alikuwa anamuombea kazi mwanaye Azam FC, au yeye mwenyewe alikuwa anajipigia chapuo akautunze Uwanja wa Azam Complex, Chamazi? 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MZEE TEGETE NA BAKHRESA WALIKUWA WANAZUNGUMZA NINI HAPA? Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top