• HABARI MPYA

  Tuesday, January 13, 2015

  OKWI YUKO TAYARI KUISAIDIA SIMBA SC VITA YA KOMBE LEO

  Yuko tayari; Mshambuliaji wa Simba SC, Emmanuel Okwi (kushoto) jana alifanya mazoezi kikamilifu kuelekea mchezo wa leo wa Fainali Kombe la Mapinduzi dhidi ya Mtibwa Sugar Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Okwi hajacheza mechi zote za awali za michuano hiyo kutokana na kuchelewa kujiunga na wenzake kwa sababu alikuwa ana ruhusa maalum ya uongozi wa klabu kwa ajili ya masuala ya kifamilia. Kulia ni Mganda mwenzake, Dan Sserunkuma.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: OKWI YUKO TAYARI KUISAIDIA SIMBA SC VITA YA KOMBE LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top