// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); NEYMAR, MESSI NA SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA IKIIFUNGA 3-1 ATLETICO MADRID - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE NEYMAR, MESSI NA SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA IKIIFUNGA 3-1 ATLETICO MADRID - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Monday, January 12, 2015

    NEYMAR, MESSI NA SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA IKIIFUNGA 3-1 ATLETICO MADRID

    BARCELONA imeibuka na ushindi mnono wa mabao 3-1 katika La Liga dhidi ya Atletico Madrid usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Camp Nou.
    Shukrani kwao, wafungaji wa mabao hayo, Mbrazil, Neymar, dakika ya 12, nyota wa Uruguay, Luis Suarez dakika ya 59 na Muargentina Lionel Messi dakika ya 87.
    Bao pekee la Atletico limefungwa na Mario Mandzukic dakika ya 57 kwa penalti. Katika mchezo huo, Neymar aliumia kifundo cha mguu kiasi cha kutokwa damu baada ya kugongana na beki wa kati wa Atletico, Jose Gimenez.
    Neymar alitolewa nje kwa machela na kutibiwa kwa dakika kadhaa kabla ya kurejea uwanjani.
    Barcelona's Holy Trinity (L-R) of Luis Suarez, Neymar and Lionel Messi all scored in the 3-1 defeat of Atletico Madrid
    Nyota wa Barcelona kutoka kushoto, Luis Suarez, Neymar na Lionel Messi wakishangilia baada ya wote kufunga mabao katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Atletico Madrid

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NEYMAR, MESSI NA SUAREZ WOTE WAFUNGA BARCA IKIIFUNGA 3-1 ATLETICO MADRID Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top