• HABARI MPYA

  Monday, January 12, 2015

  JOSE GIMENEZ AMGONGA NEYMAR KIFUNDO HADI DAMU

  Neymar remonstrates by showing his bloodied sock after being carried off the field by a stretcher 
  Mshambuliaji wa Barcelona, Neymar akiwa amebebwa kwenye machela baada ya kuumia kifundo cha mguu, kufuatia kugongana na beki wa Atletico Madrid, Jose Gimenez katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Barca ilishinda 3-1.
  Blood seeps through the socks on Neymar's right ankle after the collision with Gimenez
  Neymar alitokwa damu katika sehemu aliyogongwa na Gimenez mguu wa kulia

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2905723/Neymar-left-bloodied-ankle-Barcelona-s-match-against-title-rivals-Atletico-Madrid.html#ixzz3OZSrlBWJ 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JOSE GIMENEZ AMGONGA NEYMAR KIFUNDO HADI DAMU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top