• HABARI MPYA

  Tuesday, January 20, 2015

  SABABU KWA NINI AGGREY MORRIS HAKUCHEZA LEO AZAM FC

  Beki wa Azam FC, Aggrey Morris (kulia) akiwa jukwaani Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza leo wakati timu yake ikimenyana na Kagera Sugar na kushinda mabao 3-1. Aggrey hakucheza leo kwa sababu alikuwa anatumikia adhabu ya kadi tatu za njano. Kushoto ni kiungo wa timu hiyo pia, Khamis Mcha 'Vialli' ambaye alikuwa anasumbuliwa na homa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SABABU KWA NINI AGGREY MORRIS HAKUCHEZA LEO AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top