Andy Murray celebrates as he thrashes Rafael Nadal in the semi-final of the Abu Dhabi exhibition event
Rafael Nadal akipiga kitenisi wakati mchezo wa Nusu Fainali ya michuano ya ubingwa wa dunia wa Tenisi mjini Abu Dhabi dhidi ya Andy Murray Uwanja wa Zayed Sports City. Murray alishinda kwa seti 2-0, (6-2 na 6-0), huo ukiwa ushindi wake wa kwanza dhidi ya wakali wa nne bora tangu Julai mwaka 2013. Murray sasa atakutana na Novak Djokovic leo katika Fainali.
Muonekano wa Uwanja waZayed Sport City wakati Nadal akicheza na Murray
PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/tennis/article-2894440/Andy-Murray-blasts-past-Rafael-Nadal-straight-sets-reach-final-World-Tennis-Championship.html#ixzz3NjIvX1pR
0 comments:
Post a Comment