• HABARI MPYA

  Saturday, January 03, 2015

  MTIBWA SUGAR SARE 1-1 NA JKU KOMBE LA MAPINDUZI

  Mshambuliaji wa JKU ya Zanzibar, Amour Omar akimtoka beki wa Mtibwa Sugar, Andrew Vincent katika mchezo wa Kundi C Kombe la Mapinduzi jioni ya leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Timu hizo zilitoka sare ya 1-1 Mtibwa wakitangulia kupata bao kupitia kwa Mussa Hassan Mgosi dakika ya 20 kabla ya JKU kusawazisha kupitia kwa Amour Omar dakika ya 72. Mgosi pia alikosa penalti dakika ya 53 akipaisha juu ya lango, baada ya Hamisi Abdallah wa JKU kuunawa mpira kwenjye boksi.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MTIBWA SUGAR SARE 1-1 NA JKU KOMBE LA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top