• HABARI MPYA

  Saturday, January 03, 2015

  'MIBEKI' YA AZAM NA MITATTOO YAO BENCHI JANA

  Beki wa Azam FC, Said Mourad akivaa jezi yake benchi jana wakati wa mchezo dhidi ya KCCA ya Uganda katika Kombe la Mapinduzi jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Mourad ni mpenzi wa tattoo kama zinavyoonekana mwili mwake.
  Beki Serge Wawa Pascal raia wa Ivory Coast naye pia ni mpenzi wa tattoo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: 'MIBEKI' YA AZAM NA MITATTOO YAO BENCHI JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top