• HABARI MPYA

  Monday, January 05, 2015

  JICHO LA KAZI, KOCHA WA MARREIKH 'AKIWAPIGA CHABO' AZAM ZANZIBAR

  Kocha wa El Merreikh ya Sudan, Burhan Tia akiwa jukwaani Uwanja wa Amaan, Zanzibar Jumapili kufuatilia mchezo wa Kundi B Kombe la Mapinduzi, kati ya Azam FC na KMKM. Azam FC ilishinda 1-0. Kocha huyo amekuja Zanzibar kuwachunguza wapinzani wao katika Raundi ya Awali ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Azam FC.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: JICHO LA KAZI, KOCHA WA MARREIKH 'AKIWAPIGA CHABO' AZAM ZANZIBAR Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top