• HABARI MPYA

  Wednesday, January 14, 2015

  KOPUNOVIC ALIVYOMRUKIA IVO BAADA YA KUPANGU PENALTI

  Kocha wa Simba SC, Mserbia Goran Kopunovic akiwa amemrukia kipa wake, Ivo Mapunda kumpongeza baada ya kupangua penalti na kuipa timu hiyo ubingwa wa Kombe la Mapinduzi Jumanne usiku Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda kwa penalti 4-3 dhidi ya Mtibwa Sugar baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KOPUNOVIC ALIVYOMRUKIA IVO BAADA YA KUPANGU PENALTI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top