• HABARI MPYA

  Wednesday, January 14, 2015

  HANS POPPE ALIVYOKUWA MPOLE NDANI YA DAKIKA 90

  Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba SC, Zacharia Hans Poppe (kushoto) wakati wa mapumziko katika Fainali ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya Mtibwa Sugar. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Superdoll, Sheikh Said Nassor. Simba SC ilishinda kwa penalti 4-3 baada ya sare ya 0-0 ndani ya dakika 90.
  Hans Poppe kushoto akituma sms kabla ya kuanza kipindi cha pili
  Hans Poppe (kulia) alikuwa mwenye furaha baada ya mechi Simba SC ilipotwaa Kombe la Mapinduzi

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HANS POPPE ALIVYOKUWA MPOLE NDANI YA DAKIKA 90 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top