• HABARI MPYA

  Wednesday, January 14, 2015

  DK SHEIN ALIVYOWAKABIDHI SIMBA SC MWALI NA MAMILIONI YAO YA MAPINDUZI

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohammed Shein (kushoto) akimkabidhi Kombe la ubingwa wa Mapinduzi, Nahodha wa Simba SC, Hassan Isihaka (kulia) baada ya kuwafunga Mtibwa Sugar kwa penalti 4-3 kufuatia sare ya bila kufungana ndani ya dakika 90 Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
  Dk Shein akimkabidhi fedha taslimu Sh. Milioni 10 Nahodha wa Simba, Hassan Isihaka  
  Dk Shein akiwa katika picha ya pamoja na kikosi kizima cha Simba SC 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DK SHEIN ALIVYOWAKABIDHI SIMBA SC MWALI NA MAMILIONI YAO YA MAPINDUZI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top