Kocha mpya wa Simba SC, Mserbia Goran Kopunovic akinywa maji dakika za mwishoni wakati wa mchezo wa Kundi C, Kombe la Mapinduzi dhidi ya Mafunzo Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda 1-0, lakini mchezo ulikuwa mgumu upande wao.
Baada ya filimbi ya mwisho, Kopunovic pamoja na kuanza na ushindi katika mechi ya kwanza tangu arithi mikoba ya Mzambia, Patrick Phiri alitoka uwanjani ameinamisha kichwa chini kama mtu anayetafakari. Unadhani alikuwa anawaza nini?
Kerr on why Commonwealth mile glory matters to him
-
Josh Kerr didn't dream about being the fastest person ever to run a mile
when he was a kid. He dreamed of pulling on a Scotland vest in the
Commonwealth Ga...
0 comments:
Post a Comment