• HABARI MPYA

  Saturday, January 03, 2015

  BERAHINO APIGA NNE PEKE YAKE WBA IKIUA 7-0 KOMBE LA FA ENGLAND


  Berahino curls home his second goal of the game just a minute into the second half to make it 3-0 to West Brom
  Mshambuliaji wa West Brmwich Albion, Saido Berahino akifumua shuti kuifungia timu yake bao la pili katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Gateshead Kombe la FA England. Berahino alifunga mabao manne, mengine yakifungwa na Victor Anichebe, Chris Brunt na James Morrison, kocha mpya Tony Pulis akifurahia kuanza na ushindi katika mchezo wa kwanza baada ya kurithi mikoba ya Alan Irvine. 

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2895386/West-Bromwich-Albion-7-0-Gateshead-Saido-Berahino-scores-hat-trick-Tony-Pulis-leads-Baggies-FA-Cup-fourth-round.html#ixzz3NmbTwPA8 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BERAHINO APIGA NNE PEKE YAKE WBA IKIUA 7-0 KOMBE LA FA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top