• HABARI MPYA

  Saturday, January 10, 2015

  HUYU NDIYE BEKI ANAYEJUA 'KUKABA' TANZANIA NZIMA, SSERUNKUMA ACHEZEA 'ROBA YA MBAO'

  Beki wa Polisi akimpiga 'roba' mshambuliaji wa Simba SC, Simon Sserunkuma katika mchezo wa Nusu Fainali Kombe la Mapinduzi usiku wa leo Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Simba SC ilishinda 1-0.

  Alianza kwa kumuwekea 'konga' asipite, lakini alipoitwa ndio akakaba roba. Refa aliamuru upigwe mpira wa adhabu na Ramadhani Singano 'Messi' akaifungia Simba SC bao la ushindi.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: HUYU NDIYE BEKI ANAYEJUA 'KUKABA' TANZANIA NZIMA, SSERUNKUMA ACHEZEA 'ROBA YA MBAO' Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top