Chati inavyoonyesha kura walizopigiwa wachezaji waliokuwa wanawania tuzo ya Mwanasoka Bora wa Dunia jana mjini Zurich, Uswisi. Cristiano Ronaldo aliwashinda Lionel Messi, Manuel Neuer, Arjen Robben na Thomas Muller na kubeba Ballon d'Or ya FIFA kwa mara ya pili mfululizo.
Kutoka kushoto Manuel Neuer, Lionel Messi na Cristiano Ronaldo katika usiku wa Ballon d'Or jana usiku
0 comments:
Post a Comment