// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); GWIJI WA HIP HOP BONGO NA MBUNGE WA MBEYA, SUGU ALIVYONUSURIKA KIFO JANA KITONGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE GWIJI WA HIP HOP BONGO NA MBUNGE WA MBEYA, SUGU ALIVYONUSURIKA KIFO JANA KITONGA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Sunday, January 11, 2015

    GWIJI WA HIP HOP BONGO NA MBUNGE WA MBEYA, SUGU ALIVYONUSURIKA KIFO JANA KITONGA

    Gwiji wa muziki wa Hip hop Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Osmund Mbilinyi 'Sugu' akiwasiliana na ndugu na jamaa mara baada ya kupata ajali mbaya na kunusurika kifo eneo la mlima wa Kitonga mkoani Iringa jana mchana. Kwa mujibu wa chanzo chetu cha habari kimeeleza kuwa Sugu alikuwa akitokea Mbeya kuelekea Dar es Salaam pamoja na jamaa zake wanne kwenye gari hilo lenye namba za usajili T 148 BQE. Hakuna aliyepoteza maisha katika ajali hiyo zaidi ya kuumia tu.
    Mbunge wa Jimbo la Mbeya Mjini,Mh. Joseph Mbilinyi (watatu kushoto) akizungumza namna hali ilivyokuwa mpaka kupata ajali hiyo.
    Gari hiyo inavyoonekana.
    Sugu akiwa hospitali baada ya ajali hiyo ambayo imemuachia majeraha
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: GWIJI WA HIP HOP BONGO NA MBUNGE WA MBEYA, SUGU ALIVYONUSURIKA KIFO JANA KITONGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top