• HABARI MPYA

  Sunday, January 11, 2015

  MAN UNITED YAPIGWA KIDUDE NA AKINA WANYAMA OLD TRAFFORD

  Eljero Elia (right) of Southampton gets past Antonio Valencia (left) of Manchester United on his debut for Ronald Koeman's team
  Eljero Elia (kulia) wa Southampton akimlamba chenga Antonio Valencia (kushoto) wa Manchester United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England usiku huu Uwanja wa Old Trafford. Southampton walishinda 1-0 bao pekee la Dusan Tadic dakika ya 69.
  Victor Wanyama (right) and Schneiderlin impressed in defensive midfield positions for Southampton
  Kiungo Mkenya, Victor Wanyama (kulia) wa Southampton akimkabili Wayne Rooney wa Manchester United

  PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2905569/Manchester-United-0-1-Southampton-Substitute-Dusan-Tadic-hits-winner-high-flying-Saints-overtake-United-Premier-League-table.html#ixzz3OXO8eSCf 

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAPIGWA KIDUDE NA AKINA WANYAMA OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top