• HABARI MPYA

  Wednesday, January 14, 2015

  DEWJI ALIVYOFURAHIA NA MWALI WA MAPINDUZI MELINI

  Katibu Mkuu wa zamani wa Simba SC, Kassim Dewji (kulia) akifurahia na Kombe la Mapinduzi, ambalo timu yake ilitwaa jana Uwanja wa Amaan, Zanzibar kwa kuifunga Mtibwa Sugar kwa penalti 4-3 kufuatia sare ya 0-0 ndani ya dakika 90. Kushoto ni Mtendaji Mkuu wa BIN ZUBEIRY Blog, Mahmoud Zubeiry ambaye alikutana na Dewji katika boti ya Kilimanjaro III wakirejea Dar es Salaam kutoka Zanzibar.  

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: DEWJI ALIVYOFURAHIA NA MWALI WA MAPINDUZI MELINI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top