Mshambuliaji wa Kagera Sugar, Rashid Mandawa akiruka kupiga kichwa kuelekeza nyavuni, huku kipa wa Azam FC, akiwa amepoteana na mpira katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara jioni ya leo Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Azam FC ilishinda 3-1.
Tayari Azam FC wameondosha mpira katika hatari, Kagera walikosa bao la wazi mno.
![]() |
| Hata beki wa Azam FC, aliwahi kuokoa mpira huo kabla haujavuka mstari, na kufanya Kagera wakose bao la wazi wakati huo wakiwa nyuma kwa mabao 2-0 |





.png)
0 comments:
Post a Comment