• HABARI MPYA

  Wednesday, January 21, 2015

  BURKINA FASO YATOKA SARE NA GUINEA AFCON

  Jonathan Pitroipa wa Burkina Faso, nyuma ya Iban Randy wa Guinea katika mchezo wa Kundi A Fainali za Mataifa ya Afrika Uwanja wa Bata, Equatorial Guinea leo. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BURKINA FASO YATOKA SARE NA GUINEA AFCON Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top