• HABARI MPYA

  Thursday, January 08, 2015

  BABU YANGA ALIPONG'ATA ULIMI GWARIDE LA JKU

  Kocha Mkuu wa Yanga SC, Mholanzi Hans van der Pluijm akiwa ameng'ata ulimi wakati dakika zikiyoyoma katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya JKU Uwanja wa Amaan, Zanzibar usuku wa leo. Yanga imefungwa 1-0 na kutolewa.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BABU YANGA ALIPONG'ATA ULIMI GWARIDE LA JKU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top