• HABARI MPYA

  Friday, January 09, 2015

  "AAH REFA, OFFSIDE GANI ILE!"

  Mshambuliaji Mliberia wa Yanga SC, Kpah Sherman akilalamika kwa refa (hayupo pichani) baada yake alilofunga akiwa ameotea kukataliwa katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Mapinduzi dhidi ya JKU walioshinda 1-0 Alhamisi usiku Uwanja wa Amaan, Zanzibar.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: "AAH REFA, OFFSIDE GANI ILE!" Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top