• HABARI MPYA

  Wednesday, January 21, 2015

  AZAM FC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA KIRUMBA

  Kiungo wa Azam FC, Kipre Michael Balou akiwa ameruka juu kupiga mpira kichwa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara dhidi ya Kagera Sugar Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Azam FC ilishinda 3-1.
  Kipre Balou akiambaa na mpira
  Erasto Nyoni wa Azam FC akiambaa na mpira dhidi ya beki wa Kagera Sugar
  Kipre Tchetche akiwalamba chenga mabeki wa Kagera Sugar
  Winga wa Azam FC, Brian Majwega akimtoka beki wa Kagera Sugar
  Kiungo George Kavilla akimtoka kiungo wa Azam FC, Frank Domayo
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM FC NA KAGERA SUGAR KATIKA PICHA JANA KIRUMBA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top