• HABARI MPYA

    Wednesday, October 08, 2014

    MBEYA CITY YAZIPIGA BAO 'LAINII' SIMBA NA YANGA SC...CHEKI KITU HIKI!

    Baada ya kufanya vizuri katika mradi wa kuuza jezi, klabu ya Mbeya City imepiga hatua zaidi ya kujiendesha kibiashara kufuatia kuanza kuchapisha bahasha zenye nembo za wadhamini wao pia na kuuza. Wazi, klabu hii iliyo katika msimu wa pili Ligi Kuu ni mfano wa kuigwa mbele ya vigogo Simba na Yanga vilivyoasisi ligi yenyewe, zinazodumaa bila manufaa.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MBEYA CITY YAZIPIGA BAO 'LAINII' SIMBA NA YANGA SC...CHEKI KITU HIKI! Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top