• HABARI MPYA

    Tuesday, June 10, 2014

    NYOTA WA KOMBE LA DUNIA WENYE MAGARI MAKALI ZAIDI, HAWA HAPA NA HAYA HAPA...

    WAKATI Fainali za Kombe la Dunia zinaanza keshokutwa, BIN ZUBERY inakuletea wanasoka wenye magari mazuri zaidi, ambao watacheza michuano hiyo mwaka huu nchini Brazil.
    Ama ukitazama ubora wa Maybach, au kasi ya Ferrari, nyota hao hakika wan a fedha za kuchoma kwa ajili ya mafuta. 
    Cristiano Ronaldo ana Lamborghini Aventador LP 700-4 la Pauni 267,000.

    Top speed: Ronaldo taking a drive with his son in a Lamborghini Aventador LP 700-4
    Ina kasi sana: Ronaldo akiendesha Lamborghini Aventador LP 700-4 akiwa na mtoto wake kiume
    Lionel Messi ana Maserati GranTurismo MC Stradale la Pauni 107,000. 
    Magician: Lionel Messi will be hoping for a superb World Cup having scored just once in the competition
    Best for the best: Argentina star Lionel Messi parks his Maserati in Barcelona
    Nzuri zaidi: Lionel Messi akiwa amepaki gari lake eneo la Maserati mjini Barcelona
    Wayne Rooney ana Aston Martin Vanquish la Pauni 166,000
    British man: Manchester United striker Wayne Rooney's choice of car is quintessentially British
    Wazza: Wayne Rooney arrived to training with Manchester United in his Aston Martin Vanquish
    Wazza: Wayne Rooney akiwasili mazoezini Manchester United na Aston Martin Vanquish lake
    Samuel Eto’o ana Maybach 57 S Xanatec Coupe ambazo kila moja ina thamani ya Pauni 600,000 
    Outstanding: Samuel Eto'o's huge Maybach Xanantec Coupe costs £600,000
    Flash: Samuel Eto'o poses with his two Maybachs, and has a collection worth around £4million
    Mwanga: Samuel Eto'o akiwa na Maybachs zake, ambazo zote zina thamani ya Pauni Milioni 4million
    Mario Balotelli ana Ferrari F12 ambazo thamani yake halisi haijatajwa
    Classic: Former Man City star Balotelli shops in Italy with his car, in fiery Milan red
    Star man: Balotelli will perform on football's centre stage with Italy in Brazil
    Nyota dunia inamjua: Balotelli na juu ni gari lake
    Neymar ana Audi R8 GT la Pauni 148,000
    The man: Neymar is expected to be Brazil's star at the World Cup on home soil this summer
    Samba style: World Cup poster boy Neymar drives this Audi R8, worth nearly £150,000
    Mambo ya Samba: Neymar akiendesha Audi R8 lake la Pauni 150,000
    Ribery ana Lamborghini Gallardo LP560-4 Spyder la Pauni 133,000, 
    Unfortunate: Ribery is unlucky to miss out on France's World Cup campaign with an injury
    Motor: Franck Ribery will miss the World Cup, but has this Lamborghini Gallardo to comfort him
    Chombo cha moto: Franck Ribery japokuwa atakosa Kombe la Dunia kwa sababu ya majeruhi, lakini naye ana Lamborghini Gallardo la kumfariji
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: NYOTA WA KOMBE LA DUNIA WENYE MAGARI MAKALI ZAIDI, HAWA HAPA NA HAYA HAPA... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top