// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); KACHAA BALOTELLI AMTIA PETE LA UCHUMBA BINTI WA WATU NA MBWEMBWE KIBAO INSTAGRAM - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE KACHAA BALOTELLI AMTIA PETE LA UCHUMBA BINTI WA WATU NA MBWEMBWE KIBAO INSTAGRAM - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Tuesday, June 10, 2014

    KACHAA BALOTELLI AMTIA PETE LA UCHUMBA BINTI WA WATU NA MBWEMBWE KIBAO INSTAGRAM

    MSHAMBULIAJI wa Italia, Mario Balotelli ametangaza kumchumbia demu wake, Fanny Neguesha kuelekea mchezo wao wa ufunguzi wa Kombe la Dunia dhidi ya England mjini Manaus.
    Mchezaji huyo mtata wa AC Milan amethibitisha hilo katika ukurasa wake wa Instagram kwa kuposti picha ya mkono wa mpenzi wake huyo ikiwa na pete ya uchumba jana jioni.
    Balotelli ameambatanisha picha na ujumbe usemao: "Amesema ndio.. Ndiyo muhimu zaidi katika maisha yangu. Hiyo ndilo lilikuwa swali langu! Nakupenda, na furahia siku ya kuzaliwa kwao pia! Je t'aime my WIFE'.
    Mambo hadharani: Mshambuliaji wa Italia, Mario Balotelli (juu kushoto) anatarajiwa kumuoa demu wake, Fanny Neguesha (juu kulia) ambaye picha ya chini inaonyesha mkono wake ukiwa na pete ya uchumba aliyovalishwa na nyota huyo wa AC Milan
    Fanny watches Balotelli in action for Italy at the Confederations Cup in Brazil last year
    Fanny takes a stroll in Milan
    Shabiki mamba moja: Fanny, kushoto akimsapoti Balotelli wakati wa Kombe la Mabara mwaka jana na kulia akizurula mitaa ya Jiji la Milan
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KACHAA BALOTELLI AMTIA PETE LA UCHUMBA BINTI WA WATU NA MBWEMBWE KIBAO INSTAGRAM Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top