• HABARI MPYA

    Monday, June 29, 2026

    CANADA YAICHAPA AFRIKA KUSINI 1-0 NA KUITUPA NJE KOMBE LA DUNIA

     TIMU ya Canada imefanikiwa kwenda Hatua ya16 Bora Fainali za Kombe la Dunia baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Afrika Kusini usiku wa kuamkia leo Uwanja wa SoFi mjini Inglewood,  Los Angeles County, California, Marekani.

    Pongezi kwa mfungaji wa bao hilo pekee, kiungo Stephen Antunes Eustáquio anayecheza kwa mkopo Los Angeles FC ya Marekani kutoka FC Porto ya Ureno aliyefunga dakika ya 90’+2.

    Next
    This is the most recent post.
    Older Post
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: CANADA YAICHAPA AFRIKA KUSINI 1-0 NA KUITUPA NJE KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top