• HABARI MPYA

  Thursday, February 16, 2017

  UNADHANI WENGER ALIKUWA ANAWAZA NINI HAPA?

  Kocha Mfaransa wa Arsenal, Arsene Wenger akiwa ameziba mdomo wake wakati wa mchezo dhidi ya Bayern Munich ya kocha Mtaliano Carlo Ancelotti usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena timu yake ikifungwa 5-1 katika mchezo wa kwanza wa hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: UNADHANI WENGER ALIKUWA ANAWAZA NINI HAPA? Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top