• HABARI MPYA

  Sunday, February 12, 2017

  RONALDO AFUNGA REAL MADRID YASHINDA 3-1 UGENINI LA LIGA

  Mshambuliaji Mreno wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kukifungia kikosi cha kocha Zinedine Zidane dakika ya 24 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Osasuna usiku wa jana Uwanja wa El Sadar, Pamplona, Irunea kwenye mchezo wa La Liga. Mabao mengine ya Real yalifungwa na Francisco Roman Alarcon Suarez 'Isco' dakika ya 62 na Lucas Vazquez dakika ya 90 na zaidi, wakati la Osasuna lilifungwa na Sergio Leon dakika ya 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA REAL MADRID YASHINDA 3-1 UGENINI LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top