• HABARI MPYA

    Saturday, February 11, 2017

    MANE SI WA MCHEZO MCHEZO, SI AMEPIGA ZOTE MBILI LIVERPOOL IMEIKANYAGA SPURS 2-0

    Sadio Mane akinyoosha kidole juu baada ya kufunga mabao yote mawili dakika za 16 na 18 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Tottenham Hotspur leo Uwanja wa Anfield, kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MANE SI WA MCHEZO MCHEZO, SI AMEPIGA ZOTE MBILI LIVERPOOL IMEIKANYAGA SPURS 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top