Kiungo Mspaniola, Juan Mata akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kwanza dakika ya 32 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Watford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford leo. Bao la pili lilifungwa na Anthony Martial dakika ya 60 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment