Nyota wa Arsenal, Alexis Sanchez akishangilia na wenzake Kieran Gibbs na Hector Bellerin baada ya kuifungia mabao yote mawili The Gunners katika ushindi wa 2-0 jioni ya leo dhidi ya Hull City Uwanja wa Emirates, London katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Sanchez alifunga bao la kwanza dakika ya 34 na la pili dakika 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Police neutralize 3 suspected kidnappers, rescue abducted victim in Oyo
-
From Taiwo Oluwadare, Ibadan The Oyo State Police Command has announced the
neutralization of three suspected kidnappers and the rescue of an abducted
vi...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment