• HABARI MPYA

  Thursday, February 02, 2017

  MAN UNITED YALAZIMISHWA SARE NA VIBONDE HULL CITY, TENA OLD TRAFFORD

  Mshambuliaji tegemeo wa Manchester United, Zlatan Ibrahimovic akisikitika baada ya timu yake kulazimishwa sare ya 0-0 na Hull City iliyo hatarini kushuka daraja usiku wa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Old Trafford PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED YALAZIMISHWA SARE NA VIBONDE HULL CITY, TENA OLD TRAFFORD Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top