• HABARI MPYA

    Sunday, February 05, 2017

    LIVERPOOL YAPIGWA TENA ENGLAND

    Wachezaji wa Liverpool wakimpongeza Alfred N'Diaye baada ya kuifungia Hull City bao la kwanza dakika ya 44 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Liverpool Jumamosi Uwanja wa KCOM katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la Hull City lilifungwa na Oumar Niasse dakika ya 86 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: LIVERPOOL YAPIGWA TENA ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top