• HABARI MPYA

    Thursday, February 09, 2017

    DEPAY AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO LYON IKIUA 4-0

    Nyota wa zamani wa Manchester United, Memphis Depay akipiga saluti kushangilia baada ya kuifungia timu yake mpya, Lyon dakika ya 58 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Nancy kwenye mchezo wa Ligue 1 Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Parc Olympique Lyonnais mjini Decines-Charpieu. Mabao mengine ya Lyon yalifungwa na Mathieu Valbuena, Nabil Fekir na Alexandre Lacazette kwa penalti baada ya Depay kuangushwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DEPAY AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO LYON IKIUA 4-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top