Nyota wa zamani wa Manchester United, Memphis Depay akipiga saluti kushangilia baada ya kuifungia timu yake mpya, Lyon dakika ya 58 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya Nancy kwenye mchezo wa Ligue 1 Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Parc Olympique Lyonnais mjini Decines-Charpieu. Mabao mengine ya Lyon yalifungwa na Mathieu Valbuena, Nabil Fekir na Alexandre Lacazette kwa penalti baada ya Depay kuangushwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Fundamental human rights and democratic freedoms (4)
-
INTRODUCTION In our last discourse on this series, we examined the
procedure for enforcement of fundamental rights, including applications for
leave; as ...
26 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment