Bondia Mtanzania, Said Mbelwa (kulia) akiwa na kocha wake, Emmanuel Mlundwa na mwenyeji wao, Rick (kushoto) baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kolkata, India tayari kwa pambano lake la Jumamosi dhidi ya Brijesh Briizz ukumbi wa Khudiram Anushilan, Kendra, Kolkata.
0 comments:
Post a Comment