• HABARI MPYA

    Wednesday, February 15, 2017

    AUBAMEYANG AKOSA PENALTI, DORTMUND YAPIGWA URENO

    Mshambuliaji wa Borussia Dortmund, Pierre-Emerick Aubameyang akijilaumu baada ya kukosa penalti iliyotolewa baada ya Ljubomir Fejsa kuunawa mpira kwenye boksi usiku wa jana kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya wakifungwa 1-0 na wenyeji, Benfica Uwanja wa Luz mjini Lisbon, Ureno bao pekee la Kosta Mitroglou dakika ya 48 PICHA ZAIDI GONGA HAPA  
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: AUBAMEYANG AKOSA PENALTI, DORTMUND YAPIGWA URENO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top