• HABARI MPYA

  Saturday, September 03, 2016

  AZAM VETERANS YAANZA VYEMA KOMBE LA URAFIKI

  TIMU ya Azam Veterani imeanza vyema michuano ya Kombe la Urafiki, baada ya kuifunga mabao 4-1 Boko Veterans usiku wa jana Uwanja wa Gymkhana, Dar es Salaam.
  Katika mchezo huo, mabao ya Azam Veterans yalifungwa na Nahodha wake, Abdulkarim Amin ‘Popat’ mawili, Salim Aziz moja sawa na Philipo Alando.
  Katika mchezo mingine jana, Gymkhana Stars wameshinda 4-3 Gymkhana Nyota, wakati Bin Slum Tyres itamenyana na na Sitaki Shari Veterans leo.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: AZAM VETERANS YAANZA VYEMA KOMBE LA URAFIKI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top